Kipanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kipanga (maana)

Kipanga
Kipanga wa Ulaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Falconiformes (Ndege kama kozi)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na mwewe)
Jenasi: Accipiter Brisson, 1760

Erythrotriorchis Sharpe, 1875
Megatriorchis Salvadori & Albertis, 1875
Urotriorchis Sharpe, 1874

Vipanga ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali katika familia ya Accipitridae. Ndege hawa ni wadogo kuliko tai na huruka upesi. Spishi nyingi zinatokea misituni na huwinda ndege na wanyama wadogo kwa kuruka haraka kutoka kitulio kilichofichwa. Wana mabawa mafupi na ya bapa, na mkia mrefu ili kuwasaidia kwenda huko na huko kati ya miti. Jike ni kubwa kulika dume. Uwezo wao wa kuona ni mzuri kabisa, mara nane ya uwezo wa binadamu.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha