Ndege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndege ni neno ambalo kwa Kiswahili linaweza kumaanisha:

  • Ndege (mnyama) ni aina wa wanyama ambao kwa kawaida wanaweza kuruka.
  • Ndege (uanahewa) (au eropleni) ni chombo cha usafiri kinachoweza kuruka wakati kikiwa na abiria au mizigo ndani yake.


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.