Nanjing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Nanjing
Skyline ya Jiji la Nanjing
Nchi China
Jimbo Jiangsu
Idadi ya wakazi
 - Mji 7,588.900
Website: www.nanjing.gov.cn

Nanjing (南京) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Jiangsu. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 7.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.

ČLR-pahýl.png Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanjing kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.