Yosefu (babu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Yosefu ni jina la mtoto wa kiume wa kumi na mmoja wa Yakobo Israeli na babu la kabila mojawapo la Israeli lililoitwa kwa jina lake mwenyewe, au kwa kawaida zaidi liligawanyika pande mbili: kabila la Manase na kabila la Efraimu kufuatana na majina ya watoto wake wawili wa kiume.

Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosefu (babu) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.