Mona Lisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mchoro wa Mona Lisa, uliofanywa na Leonardo da Vinci.

Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri dunia Leonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre.

[hariri] Viungo vya nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Mona Lisa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Mona Lisa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.