Ares
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ares | |
|---|---|
Sanamu ya Ares |
|
| Mungu wa Vita na Ujanadume | |
| Makao | Mlima Olimpos, Thraki, Masedonia & Sparta |
| Alama | Mkonjo, Helmeti, Mbwa, Gari la farasi, Jivi |
| Wazazi | Zeu na Hera |
| Ndugu | Heba, Hefaisto, Enyo, Herakle, na Eileithia |
| Watoto | Ero, Antero, Fobo, Deimo, Flejia, Harmonia, na Adrestia |
| Ulinganifu wa Kirumi | Mars |
Ares (Kigiriki: Άρης /ˈaris/; Kigiriki cha Kale: Ἄρης /árɛːs/) ni mungu wa vita na ujanadume katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Mars katika dini ya Roma ya Kale.
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ares kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |