Mlima Olimpos
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Olimpos (Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni mlima mrefu kuliko yote Ugiriki.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Olimpos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |