Mitholojia ya Kigiriki
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kichwa cha Sanamu ya Zeu
Mitholojia ya Kigiriki ni ukusanyaji wa masimulizi na hadithi za Ugiriki ya Kale, kuhusu miungu na mashujaa wao. Zilikuwa moja ya sehemu ya dini ya Ugiriki ya Kale.
Yaliyomo |
[hariri] Miungu Kumi na Miwili ya Olimpos
| Jina la Kigiriki | Jina la Kiswahili | Maelezo |
|---|---|---|
| Aφροδίτη (Afrodítē) | Afrodita | Mungu wa kike wa upendo na uzuri. |
| Aπόλλων (Apóllōn) | Apolo | Mungu wa nuru na ushairi. |
| Άρης (Árēs) | Ares | Mungu wa vita. |
| Άρτεμις (Ártemis) | Artemi | Mungu wa kike wa uwindo. |
| Αθηνά (Athēná) | Athena | Mungu wa kike wa elimu na hekima. |
| Δημήτηρ (Dēmḗtēr)
Δήμητρα (Dḗmētra) |
Demetra | Mungu wa kike wa mimea na kilimo. |
| Διόνυσος (Diónysos) | Dioniso | Mungu wa divai. |
| Έρως (Érōs) | Ero | Mungu wa mapenzi. |
| ᾍδης (Ádēs) | Hade | Mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa. |
| Ήφαιστος (Ḗfaistos) | Hefaisto | Mungu wa uhunzi. |
| Ήρα (Ḗra) | Hera | Mungu wa kike wa ndoa na malkia ya miungu. |
| Ερμής (Ermḗs) | Herme | Mjumbe wa miungu. |
| Ἑστία (Estía) | Hestia | Mungu wa kike wa moto. |
| Ποσειδῶν (Poseidṓn)
Ποσειδώνας (Poseidṓnas) |
Poseidoni | Mungu wa bahari. |
| Ζεύς (Zeús)
Δίας (Días) |
Zeu | Mungu wa radi na mfalme wa miungu. |
[hariri] Protogenoi
| Jina la Kigiriki | Jina la Kiswahili | Maelezo |
|---|---|---|
| Αιθήρ (Aithḗr) | Aitheri | Mungu wa anga. |
| Ἀνάγκη (Anágkē) | Ananka | Mungu wa kike wa lazima. |
| Έρεβος (Érevos) | Erebo | Mungu wa giza. |
| Γαία (Gaía) | Gaya | Mungu wa kike wa ardhi. |
| Ημέρα (Ēméra) | Hemera | Mungu wa kike wa mchana. |
| Χάος (Kháos) | Khaos | |
| Χρόνος (Khrónos) | Khrono | Mungu wa muda. |
| αἱ Nῆσοι (ai Nḗsoi) | Visiwa | Miungu ya kike ya visiwa. |
| Νύξ (Nýx) | Niksi | Mungu wa kike wa usiku. |
| Ουρανός (Ouranós) | Urano | Mungu wa mbingu. |
| Ούρος (Oúros) | Milima | Miungu ya milima. |
| Πόντος (Póntos) | Ponto | Mungu wa bahari ya dunia nzima. |
| Τάρταρος (Tártaros) | Tartaro | Mungu wa tartaro. |
| Θάλασσα (Thálassa) | Thalasa | Malkia wa bahari na mke wa Ponto. |
[hariri] Titani Kumi na Wawili
| Jina la Kigiriki | Jina la Kiswahili | Maelezo |
|---|---|---|
| Ὑπερίων (Yperíōn) | Hiperioni | Mungu wa nuru ya jua. |
| Ἰαπετός (Iapetós) | Yapeto | |
| Κοῖος (Koïos) | Koyo | Mungu wa fahamu. |
| Κρεῖος (Kreïos) | Kreyo | |
| Κρόνος (Krónos) | Krono | Mfalme wa Titani. |
| Mνημοσύνη (Mnēmosýnē) | Mnemosina | Mungu wa kike wa kumbukumbu. |
| Ὠκεανός (Ōkeanós) | Okeano | Mungu wa bahari kuu. |
| Φοίβη (Foívē) | Foiba | |
| Ῥέα (Réa) | Rea | Malkia wa Titani na mke wa Krono. |
| Τηθύς (Tēthýs) | Tethi | Mungu wa kike wa mito. |
| Θεία (Theía) | Theya | Mungu wa kike wa uonaji. |
| Θέμις (Thémis) | Themi |
[hariri] Majitu
- Hekatonkheire (Ἑκατόγχειρες) — majitu yenye mikono mia na miungu wa dhoruba na vimbunga.
- Briareo (Βριάρεως)
- Coto (Κόττος)
- Gige (Γύγης)
- Siklopsi (Κύκλωψ) - majitu-chongo watatu.
- Arge (Ἄργης)
- Bronte(Βρόντης)
- Sterope (Στερόπης)
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mitholojia ya Kigiriki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |