Artemi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Artemi | |
|---|---|
| Mungu wa Kike wa Uwindo, Misitu, Vilima na Mwezi | |
| Makao | Mlima Olimpos |
| Alama | Upinde, Mishale, Kulungu dume na Mbwa wa kuwinda |
| Wazazi | Zeu na Leto |
| Ndugu | Apolo |
| Ulinganifu wa Kirumi | Diana |
Artemi (Kigiriki: Άρτεμις, Ártemis) alikuwa kaka wa Apolo, binti wa Zeu na Leto. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa uwindo na mwezi. Analingana na Diana katika dini ya Roma ya Kale.
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Artemi kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |