Apolo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apolo | |
|---|---|
Sanamu ya Apolo na alama zake—lira na nyoka Pithoni |
|
| Mungu wa nuru, tiba, muziki, ushairi, tauni, jua na elimu | |
| Makao | Mlima Olimpos |
| Alama | Lira, Zingo la mbei, Pithoni, Kunguru, Upinde na mishale |
| Wazazi | Zeu na Leto |
| Ndugu | Artemi |
| Ulinganifu wa Kirumi | Apolo |
Apolo (Kiatika, Kiionia, na Kihomeri: Ἀπόλλων, Apollōn (jen.: Ἀπόλλωνος); Kidoriki: Ἀπέλλων, Apellōn; Kiarkadokupro: Ἀπείλων, Apeilōn; Kieolia: Ἄπλουν, Aploun; Kilatini: Apollō) ni jina la mungu wa nuru na ushairi katika mitholojia ya Kigiriki na Kirumi.
Kiasili alikuwa mungu wa Kigiriki lakini ibada yake ilisambaza mapema katika Roma ya Kale pia. Wakati mwngine aliabudiwa kwa jina la Kiroma Phoebus.
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Apolo kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |