Kupro
Kutoka Wikipedia
(Elekezwa kutoka Cyprus)
|
|||||
| Wito la taifa: none | |||||
| Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν imnos is tin eleftherian Wimbo la uhuru1 |
|||||
| Mji mkuu | Nikosia |
||||
| Mji mkubwa nchini | Nikosia | ||||
| Lugha rasmi | Kigiriki, Kituruki | ||||
| Serikali | Jamhuri Tassos Papadopoulos |
||||
| Uhuru Tarehe |
16 Agosti 1960 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
9,251 km² (ya 167) -- |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
784,301 (ya 157) 835,000 90/km² (ya 105) |
||||
| Ethnic groups ({{{Ethnic_groups_year}}}) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Cyprus Pound (CYP) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .cy3 | ||||
| Kodi ya simu | +357 |
||||
| 1 Sawa na wimbo la taifa la Ugiriki |
|||||
Kupro (pia: Kuprosi, Kipro, Saiprasi, Cyprus) ni nchi ya kisiwani kwenye Mediteranea. Kijiografia ni sehemu ya Asia lakini kiutamaduni na kisiasa ni sehemu ya Ulaya. Mji mkuu ni Nikosia.
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kigiriki, wengine Kituruki. Tangu vita ya Kupro ya 1974 kisiwa kimegawiwa. Kaskazini imetawaliwa na Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini kisichotambuliwa kimataifa.
[hariri] Kisiwa cha shaba
Zamani za Kale kisiwa kilikuwa chanzo cha shaba nyingi iliyopatikana katika eneo la Mediteranea ya mashariki. Jina la kikemia la shaba "kupri" latokana na jina la kisiwa.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hiyo kuhusu "Kupro" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kupro kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

