Visiwa vya Solomon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Solomon Islands)
|
|||||
| Wito la taifa: To Lead is to Serve (Kuongoza ni kuhudumia) | |||||
| Wimbo wa taifa: God Save Our Solomon Islands Mungu abariki Visiwa vyetu vya Solomon |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Honiara |
||||
| Mji mkubwa nchini | Honiara | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
| Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Nathaniel Waena Manasseh Sogavare |
||||
| uhuru tarehe |
7 Julai 1978 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
28,896 km² (ya 142) 3.2% |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
478,000 (ya 167) 17/km² (ya 189) |
||||
| Fedha | Dollar ya Solomoni (SBD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .sb | ||||
| Kodi ya simu | +677
- |
||||
Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki upande wa mashariki ya Papua Guinea Mpya. Eneo lake ni visiwa mnamo 1000 vyenye 28,400 km². Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.
Visiwa vimekaliwa tangu miaka maelfu na Wamelanesia. Katika karne ya 19 vilikuwa koloni la Ujerumani na Uingereza. Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mapigano makali kati ya Japani na Marekani yalipiganiwa hapo.
Visiwa vilipata uhuru 1978.
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Solomon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
| Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
