Ukahaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Picha ya mfano wa kahaba akiwa kazini.

Ukahaba (kutoka Kiing. Prostitution,hooker, whore, ho, street walker, sex worker au escort) huyu mtu, mara nyingi huwa mwanamke, mwenye kufanya ngono na watu kwa malipo ya fedha. Katika Kiingereza, Prostitution eti kuna kipindi wanaita "taaluma ya kale duniani". Kulikuwa na hadithi zake karibuni katika kila tamaduni.

Yaliyomo

[hariri] Jinsi na namna ya ukahaba

Kahaba hutembea mitaani akitafuta wateja au hufanyakazi katika jengo linaloitwa dangulo. Bosi wao (yule mtu wanayemfanyia kazi na kupata fedha kwa ajili ya kazi) "Bi. fulani" (akiwa mwanamke) au "kuwadi" (akiwa mwanamume). Katika mji wa Amsterdam ni sehemu mashahuri kwa makahaba na wapo katika jumba moja linaloitwa Red Light District (mahala pa mjini ambako kunasifika kwa ukahaba).

[hariri] Hali tofauti

[hariri] Uhalali

[hariri] Kuutangaza ukahaba

[hariri] Matatizo

[hariri] Usafirishaji wa binadamu na utumwa wa kimapenzi

[hariri] Makahaba watoto

[hariri] Marejeo

[hariri] Tazama pia

Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukahaba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine