Kinshasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Kinshasa
Skyline ya Jiji la Kinshasa
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kinshasa, Brazzaville na mto Niger
Kinshasa na mto Niger

Kinshasa ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoitwa kwa jina la "Leopoldville" hadi 1966. Iko kando la mto Kongo ikitazama mji wa Brazzaville uliyoko ng'ambo ya mto.

Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 7,787,832 (mwaka 2005), pamoja na maeneo ya kando 9,122,077. Hivyo ni mji kmubwa wa tatu barani Afrika baada ya Lagos, Nigeria na Kairo, Misri.

Mji uliundwa mwaka 1881 na Henry Morton Stanley.

Kuongezeka kwa idadi ya wakazi wa Kinshasa
Mwaka wakazi
1920 1 600
1936 40 300
1938 35 900
1939 42 000
1947 126 100
1957 299 800
1959 402 500
1968 1 052 500
Mwaka wakazi
1970 1 323 000
1974 1 990 700
1976 2 443 900
1984 2 664 309
1991 3 804 000
1994 4 655 313
2005 7 500 000
2015 est. 12 000 000
Source: Populstat, World Gazetteer
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kinshasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.