Shirika la Bidhaa Pepe Huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Free Software Foundation)
| Free Software Foundation Shirika la Bidhaa Pepe Huru |
|
| Aina ya jumuiya: | NGO na ni Shirika Lisilo na Maslahi |
|---|---|
| Mahali: | Boston, Massachusetts |
| Uga: | Bidhaa pepe Huru |
| Huduma: | GNU Project GPL LGPL GFDL |
| Tovuti: | www.fsf.org |
Free Software Foundation (FSF) ni Shirika Lisilo la Kiserikali. Lilianzishwa mnamo tar. 4 Oktoba ya mwaka wa 1985 na Richard Stallman kwa lengo la kusaidia harakati za bidhaa pepe huru ("huru" na "uhuru zaidi"), ususani ilikuwa kwa ajili ya mradi wa GNU.

