Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kwarara |

|
| Uainishaji wa kisayansi |
| Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
| Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
| Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
| Oda: |
Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
|
| Familia: |
Threskiornithidae (Ndege walio na mnasaba na kwarara)
|
| Nusufamilia: |
Threskiornithinae (Ndege walio na mnasaba na kwarara)
|
| Jenasi: |
Bostrychia G.R. Gray, 1847
Cercibis Wagler, 1832
Eudocimus Wagler, 1832
Geronticus Wagler, 1832
Lophotibis Reichenbach, 1853
Mesembrinibis J.L. Peters, 1930
Nipponia Reichenbach, 1853
Phimosus Wagler, 1832
Plegadis Kaup, 1829
Pseudibis Hodgson, 1844
Thaumatibis Elliot, 1877
Theristicus Wagler, 1832
Threskiornis G.R. Gray, 1842
|
|
Kwarara ni ndege wa nusufamilia Threskiornithinae katika familia Threskiornithidae ambao wana miguu mirefu. Domo refu lao limepindika na hutumika kwa kutafuta chakula ndani ya matope. Spishi nyingi za kwarara huweka matago yao juu ya miti, kwa kawaida pamoja na yange, koikoi au domomwiko.
[hariri] Spishi za Afrika
- Bostrychia bocagei, Kwarara wa Sao Tome (Dwarf Olive Ibis)
- Bostrychia carunculata, Kwarara Ndevu (Wattled Ibis)
- Bostrychia hagedash, Kwarara Hijani (Hadada Ibis)
- Bostrychia olivacea, Kwarara Kishungi (Olive Ibis)
- Bostrychia rara, Kwarara Kidari-mabaka (Spot-breasted Ibis)
- Geronticus calvus, Kwarara Upara Kusi (Southern Bald Ibis)
- Geronticus eremita, Kwarara Upara Kaskazi (Northern Bald Ibis)
- Lophotibis cristata, Kwarara bawa-jeupe (Madagascar Crested Ibis)
- Plegadis falcinellus, Kwarara Mweusi (Glossy Ibis)
- Threskiornis aethiopicus, Kwarara Shingo-nyeusi (Sacred Ibis)
- Threskiornis bernieri, Kwarara wa Madagaska (Madagascar Sacred Ibis)
- Threskiornis solitarius, Kwarara wa Reunion (Réunion Sacred Ibis) imekwisha sasa
[hariri] Spishi za mabara mengine