David Hume
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Hume (7 Mei 1711 - 25 Agosti 1776) alikuwa mwanafalsafa wa Uskoti. Anaangaliwa kama mmojawapo wa wanafalsafa wenye umuhimu kabisa wakati Zama za Mwangaza huko Ulaya.
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Hume kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |