John Locke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Locke

John Locke (29 Agosti 163228 Oktoba 1704) alikuwa mwanafalsafa Mwingereza aliyetoa nadharia ya "Mkataba Jamii": mkataba huu unahusisha watawala na watawaliwa ambapo watawaliwa huwapa watawala madaraka ya kuongoza kwa kufuata matakwa ya watawaliwa. Nadharia hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kujengwa kwa taifa la Marekani kutoka katika utawala wa Kifalme uliokuwa chini ya Uingereza.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Locke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.