Shetani wa Tasmania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Shetani wa Tasmania | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Shetani wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian devil, Kisayansi: Sarcophilus harrisii) ni spishi ya marsupialia wa Tasmania mwenye manyoya meusi.