Biva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Biva
Biva wa Amerika (Castor canadensis)
Biva wa Amerika (Castor canadensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia (Wanyama wagugunaji)
Nusuoda: Castorimorpha (Wanyama kama biva)
Familia: Castoridae (Wanyama walio na mnasaba na biva)
Jenasi: Castor (Biva)
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Spishi 2:

Biva (kutoka Kiingereza: beaver, jina la kisayansi: Castor) ni wanyama wagugunaji wa Amerika ya Kaskazini, Ulaya na Asia.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biva kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Biva" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili beaver kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni biva.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.