Émile Durkheim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Emile Durkheim

Émile Durkheim (15 Aprili 185815 Novemba 1917) alikuwa mtaalamu kutoka nchini Ufaransa aliyeweka misingi ya sosiolojia au sayansi ya jamii.

Durkheim alizaliwa kama mtoto wa mwalimu wa Kiyahudi katika jimbo la Lorraine. Alisomakwenye chuo cha École Normale Supérieure. Aliingia katika utumishi wa serikali na tangu 1902 alikuwa profesa wa ualimu kwenye chuo kikuu cha Sorbonne. Kutokana na kazi zake taasisi yake ilibadilishwa kuwa taasisi ya kwanza ya sayansi ya jamii duniani.

Aliunda mbinu za kuchungulia muundo wa jamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]