Ekuador
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ecuador)
|
|||||
| Wito la taifa: Kihispania: "Dios, patria y libertad" ("Mungu, taifa na uhuru") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Salve, Oh Patria (usalimiwe e taifa) | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Quito |
||||
| Mji mkubwa nchini | Guayaquil | ||||
| Lugha rasmi | Kihispania | ||||
| Serikali | Jamhuri Rafael Correa |
||||
| Uhuru Kutoka Hispania kutoka Gran Colombia |
24 Mei 1822 13 Mei 1830 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
256,370 km² (ya 72) 8.8 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
13,228,000 (ya 67) 47/km² (ya 147) |
||||
| Fedha | U.S. dollar (USD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5; UTC -6 (Galápagos Islands)) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .ec | ||||
| Kodi ya simu | +593
- |
||||
Ekuador (kisw. pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani la magharibi ya Amerika Kusini. Jina la nchi lamaanisha "ikweta".
Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki. Funguvisiwa ya Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu 1,000 km kutoka bara. Mji mkuu ni Quito.
Ekuador ilikuwa koloni ya Hispania hivyo lugha ya wakazi wengi na lugha rasmi imekuwa Kihispania. Hasa katika milima ya Andes kuna Waindio wengi wanaoendelea kutumia lugha zao.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kihispania) Rais wa Ekuador tovuti rasmi
| Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
|
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ekuador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
