Maputo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Maputo | |
| Bahari ya Maputo kutoka NASA | |
| Mahali pa Jiji la Maputo katika Msumbiji | |
| Anwani ya kijiografia: 25°58′00″S 32°35′00″E / 25.966667°S 32.583333°E | |
| Nchi | Msumbiji |
|---|---|
| Mkoa | Maputo Mjini |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 1,200,000 |
Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.
Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.
Mito miwili inaishia kwenye hori ni Tembe na Maputo.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maputo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Cabo Delgado | Gaza | Inhambane | Manica | Maputo Mjini | Maputo | Nampula | Niassa | Sofala | Tete | Zambezia | |