Arithropodi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Arthropodi | ||||
|---|---|---|---|---|
Maumbile ya mdudu
|
||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||
|
||||
| Ngazi za chini | ||||
+ Nusufaila Trilobitomorpha (zimekwisha) |
Arthropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.
Wote huwa na kiunzi cha nje kinachoundwa na chitini.
Wengi ni wadogo na spishi kubwa kabisa ni kaa ya Japani inayofikia uzito wa kilogramu 15-20. Lakini wana spishi nyingi sana wanapatikana kila sehemu ya dunia.
Picha [hariri]
-
Jongoo (Myriapoda)
| Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arithropodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arithropodi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |