Nge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nge
Asian forest scorpion in Khao Yai National Park.JPG
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropodi (Wanyama bila uti wa mgongo wenye mwili wa vipingili na miguu yenye viungo)
Nusufaila: Chelicerata (Arthropodi wenye mwili wa mapande mawili na maungo mawili mbele ya domo)
Ngeli: Arakinida (Arthropodi wenye miguu minane)
Nusungeli: Dromopoda
Oda: Scorpiones (Wanyama kama nge)
Nusuoda: Neoscorpionina
Ngazi za chini

Familia za juu 6

  • Buthoidea
  • Chactoidea
  • Chaeriloidea
  • Iuroidea
  • Scorpionoidea
  • Vaejovoidea

Nge (pia huitwa: Akrabu au Kisusuli; jina la kisayansi ya oda ni Scorpiones) ni Arakinida wenye makucha na msumari mwenye sumu.