Graffiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Graffiti mjini Roma, Italia
Graffiti kutoka nchini Hispania wakati wa upingaji wa Mchezo wa ng'ombe

Graffiti ni alama au maandishi yaliyochorwa katika ukuta. Kikawaida hufanywa na rangi au kidude cha kupulizia rangi (rangi inayopulizwa kutoka katika kikopo). Alama moja yaweza kuitwa graffito lakini neno graffiti kikawaida hutumika kwa maana ya kwamba kuna alama zaidi ya moja.

Graffiti inaweza kuchukua umbo la sanaa, michoro au maneno. Hatua hii ikifanyika bila ya idhini ya mwenye mali huhesabiwa kama uhuni. Wakati mwingine watu huchora na kuandika jina la mtu au maneno makali. Wakati mwingine huwa kama upingaji wa umma kisiasa.

[hariri] Historia yake

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

[hariri] Tazama pia

[hariri] Viungo vya Nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine