Upofu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtu kipofu akiwa anapata mwongozo kutoka kwa mbwa.

Upofu ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kuona chochote. Kuna baadhi ya watu wanajiita vipofu, japokuwa wanaweza kuona hata kwa kidogo. Hujiita hivyo kwa sababu hawawezi kuona vyema, lakini wanaweza kuona viukungu-ukungu na rangirangi tu.

[hariri] Viungo vya nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upofu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.