Nadine Gordimer
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadine Gordimer (amezaliwa 20 Novemba, 1923) ni mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya dhidi ya siasa ya ubaguzi ya rangi (yaani apartheid), na kuonyesha uharibifu katika maisha ya Waafrika. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadine Gordimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |