Ngedere
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ngedere | ||||||||||||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ngedere mashariki (Chlorocebus pygerythrus)
|
||||||||||||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||||||||
|
Ngedere au tumbili ni wanyama wa jenasi Chlorocebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.
Spishi [hariri]
- Chlorocebus aethiops, Ngedere Habeshi (Grivet)
- Chlorocebus cynosuros, Ngedere wa Kongo (Malbrouck Monkey)
- Chlorocebus djamdjamensis, Ngedere wa Bale (Bale Monkey)
- Chlorocebus pygerythrus, Ngedere Mashariki (Vervet)
- Chlorocebus sabaeus, Ngedere Magharibi (Green Monkey)
- Chlorocebus tantalus, Ngedere wa Afrika wa Kati (Tantalus Monkey)