Pi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Pi uc lc.svg
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma uc lc.svg Digamma 6 San uc lc.svg San 90
Stigma uc lc.svg Stigma 6 Sho uc lc.svg Sho 90
Heta uc lc.svg Heta 8 Qoppa uc lc.svg Koppa 90
Sampi uc lc T-shaped.svg Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Pi ni herufi ya kumi na sita Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama Π (herufi kubwa cha mwanzo) au π (herufi ndogo ya kawaida). Pi ni asili ya herufi ya P katika alfabeti ya Kilatini.

Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama namba "80".

Namba ya duara

Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia. Imejulikana hasa kama namba ya duara kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Wanahisabati duniani husheherekea sikukuu ya Pi tarehe 14 Machi au pia 22 Julai.