Rho
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Alfabeti ya Kigiriki | |||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Herufi za kawaida | |||||||
| Α α Alfa | 1 | Ν ν Ni | 50 | ||||
| Β β Beta | 2 | Ξ ξ Ksi | 60 | ||||
| Γ γ Gamma | 3 | Ο ο Omikron | 70 | ||||
| Δ δ Delta | 4 | Π π Pi | 80 | ||||
| Ε ε Epsilon | 5 | Ρ ρ Rho | 100 | ||||
| Ζ ζ Dzeta | 7 | Σ σ ς Sigma | 200 | ||||
| Η η Eta | 8 | Τ τ Tau | 300 | ||||
| Θ θ Theta | 9 | Υ υ Ipsilon | 400 | ||||
| Ι ι Iota | 10 | Φ φ Phi | 500 | ||||
| Κ κ Kappa | 20 | Χ χ Khi | 600 | ||||
| Λλ Lambda | 30 | Ψ ψ Psi | 700 | ||||
| Μ μ Mi | 40 | Ω ω Omega | 800 | ||||
| Herufi za kihistoria1 | |||||||
| 6 | 90 | ||||||
| 6 | 90 | ||||||
| 8 | 90 | ||||||
| 900 |
|
||||||
| 1 Viungo vya Nje: Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje |
|||||||
Rho ni herufi ya kumi na saba katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama P (herufi kubwa cha mwanzo) au ρ (herufi ndogo ya kawaida). Rho ni asili ya herufi ya R katika alfabeti ya Kilatini. Kuhusu mabadiliko ya umbo tazama huko. Sauti ya "r" katika alfabeti ya Kikirili huandikwa kama rho.
Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama namba "100".
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia. Imejulikana hasa kama alama ya densiti na pia kwa ukinzani wa umeme.
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |