Epsilon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Alfabeti ya Kigiriki | |||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Herufi za kawaida | |||||||
| Α α Alfa | 1 | Ν ν Ni | 50 | ||||
| Β β Beta | 2 | Ξ ξ Ksi | 60 | ||||
| Γ γ Gamma | 3 | Ο ο Omikron | 70 | ||||
| Δ δ Delta | 4 | Π π Pi | 80 | ||||
| Ε ε Epsilon | 5 | Ρ ρ Rho | 100 | ||||
| Ζ ζ Dzeta | 7 | Σ σ ς Sigma | 200 | ||||
| Η η Eta | 8 | Τ τ Tau | 300 | ||||
| Θ θ Theta | 9 | Υ υ Ipsilon | 400 | ||||
| Ι ι Iota | 10 | Φ φ Phi | 500 | ||||
| Κ κ Kappa | 20 | Χ χ Khi | 600 | ||||
| Λλ Lambda | 30 | Ψ ψ Psi | 700 | ||||
| Μ μ Mi | 40 | Ω ω Omega | 800 | ||||
| Herufi za kihistoria1 | |||||||
| 6 | 90 | ||||||
| 6 | 90 | ||||||
| 8 | 90 | ||||||
| 900 |
|
||||||
| 1 Viungo vya Nje: Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje |
|||||||
Epsilon (ἒ ψιλόν - "e ya kawaida") ni herufi ya tano katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Ε (herufi kubwa mwanzoni) au ε (herufi ndogo ya kawaida).
Jina la "e ya kawaida" limetokea kwa kuitofautisha na herufi "αι" zilizokuwa na matamshi ileile.
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia.
Pesa ya Euro inatunmia epsilon yenye mistari miwili kama alama yake.
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |