Guinea Bisau
|
|||||
| Wito la taifa: Unidade, Luta, Progresso (Kireno: Umoja, Mapambano, Maendeleo) |
|||||
| Wimbo wa taifa: Esta é a Nossa Pátria Bem Amada (Hii ni nchi yetu tunayoipenda) | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Bisau 1 |
||||
| Mji mkubwa nchini | |||||
| Lugha rasmi | Kireno | ||||
| Serikali | Jamhuri Malam Bacai Sanhá Carlos Gomes Júnior |
||||
| Uhuru kutoka Ureno |
- Ilitangazwa 24 Septemba 1973 - Ilikubaliwa 10 Septemba 1974 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
36,120 km² (ya 133) 22.4 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
1,416,027 (ya 151) 1,345,479 39.2/km² (ya 130) |
||||
| Fedha | Franki ya CFA (XAF) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .gw | ||||
| Kodi ya simu | +245
- |
||||
| 1Note: Rais (mstaafu)Kumba Ialá aliwahi kutangaza mji mkuu utahamishwa kwenda Buba lakini hakuna dalili za utekelezaji hadi sasa. | |||||
Guinea-Bisau (pia: Ginebisau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi. Iko mwambaoni wa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.
Zamani ilikuwa koloni ya Ureno wa Guinea ya Kireno ikaongeza jina la mji mkuu wake kuwa Guinea-Bisau kwa kusidi la kuitofautisha na nchi jirani ya Guinea.
Yaliyomo |
Jiografia [hariri]
Guinea-Bisau ni kati ya nchi ndogo sana za Afrika; takriban 22% ni visiwa na bahari. Sehemu ya bara ni tambarare. Funguvisiwa ya Bissagos yenye visiwa 77 iko karibu na pwani.
Miji [hariri]
Miji mikubwa zaidi ya Guinea Bisau ni: Bisau wakazi 388.028, Bafatá wakazi 22.521, Gabú wakazi 14.430, Bissorã wakazi 12.688, Bolama wakazi 10.769 na Cacheu Einwohner 10.490.
Watu [hariri]
Dini [hariri]
Takriban 50 % Waislamu, 40 % wafuasi wa dini asilia, 10 % Wakristo
Makabila [hariri]
Waafrika 99% (Wabalanta 30%, Wafulbe 20%, Wamanjaca 14%, Wamandinka 13%, Wapapel 7%), Wazungu na hotara chini ya 1%. Angalia pia orodha ya lugha za Guinea-Bisau.
Historia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guinea Bisau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |

