Kiharusi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Stroke)
Kiharusi ni ugonjwa unaoleta kupooza unaosababishwa na matatizo kwenye mishipa ya damu inayolisha ubongo.
Katika tiba kiharusi (stroke) inamaanisha upotevu wa uwezo wa ubongo unaoendelea haraka. Sababu yake ni tatizo katika mishipa ya damu inayopeleka damu kwenda ubongo. Matatizo haya ni ama kuzibwa au kupasuka kwa mishipa ya damu. Seli za ubongo hufa haraka zisipopata oksijeni na lishe ya kawaida na yote haya hufika kwa njia ya damu.
Kiharusi ni hali ya dharura inaweza kutibiwa kama tatizo latambuliwa na kutibiwa haraka. Lisipotibiwa husababisha viwango mbalimbali vya kipooza mwilini.
Shinikizo la juu la damu, usukari, chakula chenye mafuta mengi au kuvuta kwa sigara huongeza hatari ya kushikwa na kiharusi.
Viungo vya Nje [hariri]
- Stroke
- Canadian Stroke Network
- Registry of the Canadian Stroke Network
- StrokEngine (McGill University, Montreal, Quebec, Canada) Focuses on stroke rehabilitation and interventions
- Cerebrovascular disease and risk of stroke
- What Happens During a Stroke. NLM. Rudishwa juu ya 2007-04-15. video
- American Stroke Association
- National Stroke Association
- Heart and Stroke Foundation of Canada
- The Stroke Association UK
- "Heart Attack, Stroke and Cardiac Arrest Warning Signs," from the American Heart Association
- StrokeMD.net
- National Stroke Association of Malaysia
- Study of Outcome of Childhood Stroke UK
| Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiharusi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |