CNN

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nembo ya CNN

Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.

Vipindi[hariri | hariri chanzo]

Vipindi vinavyonyeshwa sasa[hariri | hariri chanzo]

Jumatatu - Ijumaa[hariri | hariri chanzo]

North American Eastern Standard Time Zone|ET Kipindi Mwanahabari Jiji Maelezo
6a-9a
American Morning
John Roberts and Kiran Chetry New York morning news program.
9a-11a
CNN Newsroom
Heidi Collins Atlanta Kuipindi cha kutangaza habari.
11a-1p
Tony Harris
1p-3p
Kyra Phillips
3p-4p
Rick Sanchez Sanchez huwasiliana na watazamaji kwa kutumia tovuti kama Twitter na Facebook.
4p-7p
The Situation Room
Wolf Blitzer Washington D.C. Kipindi kinachozingatia habari kwa ufupi, kwa kuzingatia siasa, usalama, na taarifa zenye kuwatia hamu watazamaji.
7p-8p
CNN Tonight
Wanahabari tofauti New York/Atlanta Habari kwa ufupi.
8p-9p
Campbell Brown
Campbell Brown New York Mahojiano kuhusu siasa na habari zinazohusu wapigaji kura.
9p-10p
Larry King Live
Larry King Los Angeles Kipindi cha mahojiano na watu maarufu.
10p-12a
Anderson Cooper 360
Anderson Cooper New York Kipindi cha kutangaza habari.

Saturday[hariri | hariri chanzo]

ET Kipindi Mwanahabari Jiji Maelezo
6a-730a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes Atlanta Kipindi cha kutangaza habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay Gupta New York Kipindi cha matibabu na dawa.
8a-930a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes Atlanta Kipindi cha habari.
930a-10a
Your Bottom Line
Gerri Willis New York Kipindi kinachozingatia fedha.
10a-12p
CNN Newsroom
Betty Nguyen and T. J. Holmes Atlanta Kipindi kinachtangaza habari.
12p-1p
Fredricka Whitfield
1p-2p
Your $$$$$
Ali Velshi na Christine Romans New York Kipindi cha biashara.
2p-5p
CNN Newsroom
Fredricka Whitfield Atlanta Kipindi cha taarifa ya habari.
5p-6p
Don Lemon
6p-7p
The Situation Room
Wolf Blitzer Washington D.C. Kipindi cha habari za siasa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don Lemon Atlanta Kipindi cha habari.
8p-9p
CNN Special Investigations Unit / CNN Presents / Other specials
Kipindi tofauti tofauti
9p-10p
Larry King Live
Larry King Los Angeles Kipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don Lemon Atlanta Kipindi cha habari.

Jumapili[hariri | hariri chanzo]

ET Kipindi Mtangazaji Jiji Maelezo
6a-730a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes Atlanta Kipindi cha taarifa ya habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay Gupta New York Kipindi cha matibabu.
8a-9a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes Atlanta Kipindi cha habari.
9a-10a
State of the Union with John King
John King Washington D.C. Kipindi cha siasa.
10a-11a
Howard Kurtz Reliable Sources ni kipindi cha kuzingatia uanahabari.
11a-1p
John King kipindi cha siasa.
1p-2p
Fareed Zakaria GPS
Fareed Zakaria Hubadilika Majadiliano kuhusu habari za kimataifa.
2p-3p
Amanpour
Christiane Amanpour Hubadilika Majadiliano kuhusu habari za kimataifa.
3p-4p
Your $$$$$ Ali Velshi na Christine Romans New York Kipindi cha habari za kimataifa.
4p-6p
CNN Newsroom
Fredricka Whitfield Atlanta Taarifa ya habari.
6p-7p
Fareed Zakaria GPS
Fareed Zakaria Hubadilika Mahojiano kuhusu habari za kimataifa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don Lemon Atlanta Taarifa ya habari.
8p-9p
State of the Union with John King / CNN SIU / CNN Presents
9p-10p
Larry King Live
Larry King Los Angeles Kipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don Lemon Atlanta Taarifa ya habari.

Wachambuzi wa kisiasa[hariri | hariri chanzo]

Stesheni maalum[hariri | hariri chanzo]

Mahojiano katika CNN en Español
 • CNN.com Live
 • CNN Airport Network
 • CNN Checkout Channel
 • CNN en Español
 • HLN (TV network)|HLN
 • CNN International
 • CNN+ (a partner network in Spain, launched in 1999 with Sogecable)
 • CNN TÜRK A Turkish media outlet.
 • CNN-IBN An Indian news channel.
 • CNNj A Japanese news outlet.
 • CNN Chile A Chilean news channel launched on 4 Desemba 2008.
 • n-tv German 24 hour news channel in German language. In 2009, on air graphic (DOG position and news ticker) is like CNN. Owned by RTL Group

Ofisi[hariri | hariri chanzo]

Ofisi za CNN kote duniani
Kituo cha CNN mjini Atlanta.
Studio ya CNN.

Marekani[hariri | hariri chanzo]

Ofisi zingine duniani[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Reese Schonfeld Bio. (29 Januari 2001) MeAndTed.com. Accessed 2007-06-18.
 2. CNN changed news - for better and worse. Taipei Times (31 Mei 2005). Iliwekwa mnamo 2009-01-24.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]