Santiago de Chile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Santiago de Chile

Kitovu cha Santiago mbele ya milima ya Andes
Habari za kimsingi
Utawala Mkoa wa Santiago
Historia iliundwa 12 Februari 1541
Anwani ya kijiografia Latitudo: 33°27′0"S
Longitudo: 70°40′0"W
Kimo 520 m juu ya UB
Eneo 641 km² (mji)
Wakazi - mji: 6,500,000
Msongamano wa watu watu 8,000 kwa km²
Simu +56 (nchi) 73 (mji)
Mahali

Santiago de Chile ni mji mkuu wa nchi ya Chile. Mji ni sehemu ya kanda la mji mkuu (Región Metropolitana) inayojumlisha pamoja na mkoa wa Santiago mikoa mitano mingine. Santiago yenyewe ni jina la sehemu penye kitovu cha mji na mitaa ya serikali penye watu 202,000 tu.

Santiago ni kitovu cha kiuchumi na kisasa ya nchi hata kama Bunge lakutana mjini Valparaiso.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santiago de Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.