Trinidad na Tobago
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Trinidad and Tobago)
|
|||||
| Wito la taifa: Together we aspire, together we achieve | |||||
| Wimbo wa taifa: Forged From The Love of Liberty | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Port of Spain |
||||
| Mji mkubwa | Chaguanas [1] | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
| Serikali | Jamhuri George Maxwell Richards Patrick Manning |
||||
| Uhuru Kutoka Uingereza |
31 Agosti 1962 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
5,128 km² (ya 172) Kidogo sana |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
1,305,000 (ya 152) 207.8/km² (ya 47) |
||||
| Fedha | Trinidad and Tobago dollar (TTD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC n/a) |
||||
| Intaneti TLD | .tt | ||||
| Kodi ya simu | +1-868
- |
||||
Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini karibu na pwani ya Venezuela kusini kwa kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana.
Nchi ina eneo la 5,128 km² ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Kile cha Tobago kina asilimia 6 tu za eneo pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.
Wakazi wengi wana asili ya India, lakini pia ya Afrika na sehemu nyingine. Hivyo kuna machotara wa aina mbalimbali.
Upande wa dini wengi ni Wakristo.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trinidad na Tobago kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
