J. M. Coetzee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
J.M.Coetzee mwaka wa 2006 (picha imepigwa na Mariusz Kubik)

John Maxwell Coetzee (amezaliwa 9 Februari, 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa ameandika riwaya kuhusu athari za apartheid. Mwaka wa 2003 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. M. Coetzee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.