Kibisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibisi
Kibisi Ushungi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Podicipediformes (Ndege kama vibisi)
Familia: Podicipedidae (Ndege walio na mnasaba na vibisi)
Jenasi: Podiceps Latham, 1787

Tachybaptus Reichenbach, 1853 Podilymbus Lesson, 1831 Aechmophorus Coues, 1865 Poliocephalus Selby, 1840 Rollandia Bonaparte, 1856

Vibisi ni ndege wa maji wa familia ya Podicipedidae. Domo lao jembamba kuliko mabata lina ncha kali. Vibisi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga tago lao kwa matete linaloelea juu ya maji na hulifungia tete au mmea mwingine wa maji.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha