Mto Mississippi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mto Mississippi | |
|---|---|
|
|
|
| Chanzo | Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W |
| Mdomo | Ghuba ya Meksiko - Atlantiki |
| Nchi | USA |
| Urefu | 3,780 km |
| Kimo cha chanzo | 450 m |
| Tawimito upande wa kulia | Mto Ohio, mto Illinois |
| Tawimito upande wa kushoto | Mto Missouri, Mto Arkansas |
| Mkondo | 18,000 m³/s |
| Eneo la beseni | 3,238,000 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Minneapolis, St. Paul, St. Louis, Memphis, Tennessee, Baton Rouge, LA, New Orleans |
Mto Mississippi ni mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu duniani.
Chanzo chake kipo kaskazini ya Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.
Tawimito muhimu [hariri]
Beseni ya Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Tawimito muhimu ni: