Palantolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchunguzi wa masalio ya dinosau huyu, aina ya Tyrannosaurus, unaonyesha alivyoweza kung'ata sana, lakini si kwenda mbio.

Palantolojia (kwa Kiingereza "Paleontology"; kutoka maneno ya Kigiriki: παλαiός palaiòs «ya kale», ὤν ṑn (genitive ὄντος òntos) «kiumbe» na λόγος lògos «somo») ni fani ya sayansi inayochunguza masalio ya viumbehai katika miamba kama mwongozo wa historia ya uhai duniani.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Palantolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.