American Broadcasting Company

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nembo ya ABC Televisheni.

ABC (jina kamili: American Broadcasting Company) ni mtandao wa matelevisheni kutoka nchini Marekani. Moja kati ya mitandao mingine wanayomiliki ni pamoja na CBS, NBC, na FOX. Ni mitandao minne mikubwa ya televisheni iliyo katika nchi moja. Mitandao inamilikiwa na Kampuni ya Walt Disney.

[hariri] Vipindi

  • ABC News
  • Good Morning America
  • World News with Charles Gibson
  • Nightline
  • 20/20
  • Academy Awards
  • America's Funniest Home Videos
  • All My Children
  • Dancing with the Stars
  • General Hospital
  • Grey's Anatomy
  • Monday Night Football (ESPN on ABC)
  • Lost
  • One Life to Live

[hariri] Viungo vya nje

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "American Broadcasting Company" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu American Broadcasting Company kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.