Popo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Popo | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Popo-masikio wa Townsend
(Corynorhinus townsendii) |
||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
|
||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||
|
Nusuoda 2: |
Popo ni mamalia kama panya mwenye mabawa. Spishi nyingi sana hula wadudu na hizi zimo katika nusuoda Microchiroptera. Spishi kubwa za nusuoda hii hula ndege, mijusi, vyura na hata samaki. Spishi chache huko Amerika ya Kusini hula damu ya mamalia wakubwa. Nusuoda Megachiroptera ina spishi kubwa hadi ukubwa wa paka na uzito wa kg moja; urefu wa mabawa pamoja unaweza kufika sm 150. Spishi hizi hula matunda.
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Popo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |