Milenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milenia ni kipindi cha miaka elfu moja.

Kwa sasa tuko katika milenia ya pili BK iliyoanza tar. 1 Januari 2001. Lakini watu wengi walisheherekea tar. 1 Januari 2000 ingawa mwaka 2000 ilikuwa mwaka wa mwisho wa karne na milenia iliyotangulia.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Milenia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Milenia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.