Ernest Walton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Ernest Walton (6 Oktoba, 190325 Juni, 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ireland. Hasa alichunguza mwendo wa vijipande vya atomu. Mwaka wa 1951, pamoja na John Douglas Cockcroft alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Walton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.