Hispaniola
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hispaniola (Kihisp. La Española" = "cha Kihispania") ni kisiwa kikubwa cha pili katika Karibi kikiwa na eneo la 74,700 km². Iko kati ya Kuba upande wa magharibi na Puerto Rico upande wa mashariki. Hispaniola huhesabiwa kati ya visiwa vya Antili Kubwa.
Kisiwani kuna nchi mbili za Haiti na Jamhuri ya Dominika.
| Nchi | Wakazi (2005-07-01 kadirio) |
Eneo (km²) |
Msongamano wa watu(kwa km²) |
|---|---|---|---|
| Haiti | 8,528,000 | 27,750 | 255 |
| Jamhuri ya Dominika | 8,895,000 | 48,730 | 179 |
| Kisiwa chote | 17,423,000 | 76,480 | 206 |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hispaniola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |