Ramallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ramallah

Ramallah (kar. رام اﷲ) ni mji wa Palestina katika eneo la magharibi ya Yordani. Idadi ya wakazi ni mnamo 57,000. Mji uko km 10 kaskazini ya Yerusalemu.

Mjini kuna maofisi za serikali ya mamlaka ya Palestina pamoja na moja kati ya ikulu mbili za Rais.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ramallah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.