Meza
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Meza ni neno la kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja, Neno hili linaweza kumaanisha:
- Meza (samani) ni kifaa ambacho kina miguu mitatu au minne ambayo inashikilia sehemu ya juu na hutenganishwa na sehemu ya kukalia.
- Meza (tendo) ni kitendo cha kupeleka au kuruhusu chakula kilichosagwa mdomoni kiingie tumboni.