Marlon Brando
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marlon Brando (3 Aprili 1924 – 1 Julai 2004) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana huko miaka ya nyuma, A Streetcar Named Desire (1951), The Wild One (1953), The Godfather (1972), Superman (1978), Apocalypse Now (1979), na The Island of Dr. Moreau (1996).
Viungo vya nje [hariri]
- Marlon Brando kwenye Internet Movie Database
- Marlon Brando katika TCM Movie Database
- Marlon Brando katika Internet Broadway Database
- Official Website of Marlon Brando
- The Oddfather, Rolling Stone, Jod Kaftan, 25 Aprili 2002
- Marlon Brando: The Actor's Actor
- Quotes from an interview with Newsweek March 13,1972
- Court TV: Christian Brando: A Hollywood Family Tragedy
- Premiere: Remembering Brando
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marlon Brando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |