Dante Alighieri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dante Alighieri jinsi alivyochorwa na Giotto wakati wa maisha yake
Dante Alighieri (14 Mei/13 Juni 1265 - 13/14 Septemba 1321) alikuwa mshairi nchini Italia na mwenyeji wa mji wa Firenze. Anasifiwa kama mwumbaji wa lugha ya Kiitalia akiwa mwanashairi bora wa kwanza aliyeandika kwa lugha ya watu badala ya Kilatini cha wataalamu na wasomi. Hutazamiwa pia kama mshairi muhimu zaidi wa kipindi cha zama za kati za Ulaya.
Kazi yake kuu ni shairi ya Commedia Divina ambamo mshairi mwenyewe anatoa habari za safari yake katika ahera akipita jehenam, toharani na kwenye paradiso.
Viungo vya Nje [hariri]
- "Dante Alighieri on the Web", about the Dante's life, and (complete) work.
- The Banquet (Il Convito)
- The Divine Comedy: A Study Guide about Divine Comedy
- The Divine Comedy, Italian
- Dante Alighieri and his Divine Comedy in English on Read Print
- The Online Library of Liberty: Dante's Divine Comedy Italian text with English translation, Cambridge, 1918.
- Società Dantesca Italiana (bilingual site) manuscripts of Dante's works, images and text transcripts
- Guardian Books: small "Author Page"
- LitWeb.net: Dante Alighieri Biography
- Stanford Encyclopedia of Philosophy: Another biography, on his works and bibliography